Taarifa mpya kuhusu maandalizi ya kikao mseto cha 68 cha Tume ya Umoja wa Mataifa kuhusu Hali ya Wanawake (CSW68)
Mada ya Kipaumbele:
Kuharakisha kufikiwa kwa usawa wa kijinsia na uwezeshaji wa wanawake na wasichana wote kwa kukabiliana na umaskini na kuimarisha taasisi na ufadhili kwa mtazamo wa kijinsia.
Mapitio ya Mada:
Mifumo ya ulinzi wa kijamii, upatikanaji wa huduma za umma na miundombinu endelevu kwa ajili ya usawa wa kijinsia na uwezeshaji wa wanawake na wasichana (hitimisho lililokubaliwa la kikao cha sitini na tatu).
Mahali: Ana kwa ana-Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa, New York, Marekani

Majibu