Jukwa Huru (Ngoma ya Kisasa)

Karibuni tena kwenye Jukwaa Huru siku ya Alhamisi tarehe 2 Machi 2023 @Muda Kona. Saa 7.30 usiku. Kiingilio 2K. Kutakuwa na maonyesho mawili ya densi za kisasa yaliyotayarishwa na watunzi wa densi kutoka Tanzania, Uswisi na Uholanzi. Tutaonana huko. 💥

Tarehe
02 Machi 2023
Imepitwa na muda!
Muda
EAT Muda wa Kanda
Saa 7:30 jioni - 11:00 usiku

Saa za eneo hili

  • Muda wa eneo: America/New_York
  • Tarehe: 02 Mechi 2023
  • Muda: 11:30 am - 3:00 pm
Mahali
Muda Kona, Mtaa wa Silvesta, Dar es Salaam, Tanzania
Muda Kona, Mtaa wa Silvesta, Dar es Salaam, Tanzania
Mratibu
Muda Afrika
Muda Afrika
Simu +255 676 377 669
Barua pepe [email protected]
Tovuti https://www.mudaafricadance.org/

Tukio lijalo

X
Msimbo wa QR

Majibu

Shiriki kwa...